Tanzania National Business Council

  • Baadhi ya Wajumbe wa Kikundi Kazi cha Misitu katika ziara kwenye kiwanda cha China Paper Cooperation cha mjini Moshi kwa ajili ya kuona uzalishaji na...

  • Dkt. Godwill Wanga, Katibu Mtendaji TNBC akijionea moja ya zao la misitu yeye pamoja na baadhi ya wajumbe walipotembelea kiwanda cha China Paper Cooperation mjini...

  • Leo tarehe 13.7.2020 Kikundi Kazi Cha Misitu kimekaa chini ya Uenyekiti wa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda...

  • Wajumbe wa Kikundi Kazi cha Utalii katika picha ya pamoja mala baada ya Kikao cha Kikundi Kazi leo tarehe 10.7.2020...

  • Prof. Adolf Mkenda(katikati), Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Utalii, Leo 10.7.2020 ameendesha kikao cha Kikundi Kazi, kulia kwake ni Katibu Mtendaji TNBC Dkt Godwill Wanga...

  • Dkt. Godwill Wanga, Katibu Mtendaji wa TNBC akitoa maneno ya utangulizi leo tarehe 10.7.2020 kwenye Kikao cha Kikundi Kazi cha Utalii...

  • Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Kilimo ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mh. Gerald Msabila (katikati) aongoza Kikao leo tarehe 1.7.2020 Kulia kwake ni...

  • Picha ya pamoja ya baadhi ya Wjumbe wa Kikundi Kazi cha Mazingira ya Biashara kikao kilichofanyika leo tarehe 18.6.2020 Serena Hotel, Dar es salaam chini...

  • Mh. Doroth Mwaluko (Katikati) Mwenyekiti Kikundi kazi cha Mazingira ya Biashara ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Uwekezaji aendesha Kikao...

Background

ESTABLISHMENT

The Tanzania National Business Council (TNBC) was established under Presidential Circular No. 1 of 2001 with reference number SHC/C1180/1. The Presidential Circular provides for objectives, functions, structure, and procedural Guidelines stated therein.


VISION
To be a center of excellence in managing business environment for sustaining economic growth through competitive dialogues, consensus building and networking between public and private sector in Tanzania.


MISSION
Promoting a healthy, robust and inclusive market economy through prudent policies, efficient legislation and enforcement mechanisms that guarantee conducive business environment for private sector development.