Mh. Doroth Mwaluko (Katikati) Mwenyekiti Kikundi kazi cha Mazingira ya Biashara ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Uwekezaji aendesha Kikao cha Kikundi kazi cha Mazingira ya Biashara kilichofanyika leo tarehe 18.6.2020 kushoto kwa Katibu Mkuu ni Dkt. Godwill Wanga Katibu Mtendaji TNBC na Anjelina Ngalula Kaimu Mwenyekiti wa TPSF

Share this post

Comments are closed.