Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Kilimo ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mh. Gerald Msabila (katikati) aongoza Kikao leo tarehe 1.7.2020 Kulia kwake ni Katibu Mtendaji TNBC Dkt. Godwill Wanga na Makamu Mwenyekiti wa kikundi kazi hicho, Ms. Jacqueline Maleko

Share this post

Comments are closed.