Katibu Mtendaji TNBC Dkt. Godwill Wanga tarehe 12/8/2020 alitembelea na kujionea viwanda vya kuchakata mazao ya miti Mjini Mafinga. Pamoja na mambo mengine, amejionea mazingira ya biashara katika eneo hilo. Leo tarehe 13/8/2020 atahudhulia Baraza la Biashara la Mkoa wa Njombe

Share this post

Comments are closed.