Katibu Mtendaji TNBC Dkt. Godwill Wanga ametembelea eneo la mipaka ya KABANGA(Tanzania-Burundi) na RUSUMO(Tanzania-Rwanda) ikiwa ni Kujiridhisha na Mazingira ya Biashara mipakani pamoja na kujionea kazi ya ukarabati inayoendelea ya sehem korofi ya barabara ya Central Corridor iliyoharibika sana kati ya NYAKAHURA na BENACO (Njiapanda ya Rusumo na Ngara)

Share this post

Comments are closed.