Dkt. Godwill Wanga Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara akizungumza na Waandishi wa Habari mala baada ya kikao cha Baraza la Biashara la Mkoa wa Dar es salaam, kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti Mh. Abubakar Kunenge ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam

Share this post

Comments are closed.