Bw. Sanjay Rughani, Mtendaji Mkuu wa Standart Charter Bank akielezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano hasa kwa upande wa sekta ya benki na kumpongeza MHE. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kutokana na mafanikio hayo. Kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara TNBC

Share this post

Comments are closed.