MHE. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwashukuru wadau wa Sekta Binafsi kwa kutambua na kuitisha mkutano wa kumpongeza Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Serikali yake ya Awamu ya tano Mkutano umefanyika tarehe 18.10.2020 katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere Jijini Dar es salaam

Share this post

Comments are closed.