Katibu Mtendaji wa TNBC Dkt. Godwill Wanga tarehe 26.10.2020 ametembelea kituo cha huduma kwa pamoja kilichopo mpakani Mtukula kwa ajili ya kuona hali ya biashara kati ya Tanzania na Uganda

Share this post

Comments are closed.