Matangazo

Kikao Maalum cha 44 cha Kamati Tendaji ya TNBC kufanyika leo 23.05.2024
  • 23 May, 2024

Leo tarehe 23.05.2024 Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara itaketi kwa Kikao Maalum cha 44 chini ya Mwenyekiti wake Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete IKULU Jijini Dar es salaam