Habari

Kikao cha 35 cha Kamati Tendaji ya TNBC 3.6.2022
  • 04 Jun, 2022
Kikao cha 35 cha Kamati Tendaji ya TNBC 3.6.2022

Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga (katikati), Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TNBC ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji cha 35 cha  Baraza la Taifa la Biashara leo tarehe 3.6.2022 Ikulu, Jijini Dar Es Salaam. Kulia kwa Mwenyekiti ni Bw. Paul Makanza, Makamu Mwenyekiti TPSF na Kaimu Mwenyekiti Mwenza wa Kamati Tendaji ya TNBC na Kushoto kwa Mwenyekiti ni Katibu Mtendaji Dkt. Godwill Wanga.

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Hakuna Taarifa kwa sasa