Habari

Kikao cha 36 cha Kamati Tendaji ya TNBC
  • 01 Mar, 2023
Kikao cha 36 cha Kamati Tendaji ya TNBC

Tarehe 21 Februari 2023, Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TNBC ameongoza Kikao cha 36 cha Kamati Tendaji, Chamwino, Jijini Dodoma.