Habari

Kikao cha 37 cha Kamati Tendaji ya TNBC
  • 15 Mar, 2023
Kikao cha 37 cha Kamati Tendaji ya TNBC

Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TNBC Leo tarehe 15.03. 2023, ameongoza Kikao cha 37 cha Kamati Tendaji, Ikulu, Jijini Dar es salaam.