Habari

Baraza la Biashara la Mkoa wa Arusha
  • 15 Mar, 2023
Baraza la Biashara la Mkoa wa Arusha

Mhe. John Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Mkoa wa Arusha aongoza Mkutano wa Baraza leo tarehe 15.03.2023 jijini Arusha. Mkutano huo umehudhuliwa na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa TNBC Bi. Oliva Vegulla.