Habari
Bal. Dkt. Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TNBC aongoza kikao Maalum cha 45
- 10 Jan, 2025

Katibu Mkuu Kiongozi, Bal. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, leo tarehe 10 Januari, 2025 aongoza Kikao Maalum cha 45 cha Kamati Tendaji ya TNBC, IKULU Jijini Dar Es Salaam