Habari

Baraza la Biashara Mkoa wa Dar es salaam
  • 08 Aug, 2021
Baraza la Biashara Mkoa wa Dar es salaam

Katibu Mtendaji TNBC Dkt. Godwill Wanga akiwasilisha taarifa kuhusu yaliyojili katika Mkutano wa 12 wa TNBC uliofanyika tarehe 26 Juni, 2021 kwa Wajumbe na Washiriki wa Mkutano wa Baraza la Biashara la Mkoa wa Dar es Salaam tarehe 4 Agosti, 2021 katika Ukumbi wa Golden Tulip, Dar es salaam

Taarifa kwa Vyombo vya Habari