Habari

Bi. Angelina Ngalula, Mwenyekiti wa TPSF ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati Tendaji ya TNBC atembelea Ofisi za TNBC leo tarehe 2 Septemba 2025
  • 02 Sep, 2025
Bi. Angelina Ngalula, Mwenyekiti wa TPSF ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Kamati Tendaji ya TNBC atembelea Ofisi za TNBC leo tarehe 2 Septemba 2025

BI. ANGELINA NGALULA, MWENYEKITI WA SHIRIKISHO LA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) AMBAYE PIA NI MWENYEKITI MWENZA WA KAMATI TENDAJI YA TNBC, ATEMBELEA OFISI ZA TNBC ZILIZOPO MTAA WA GHANA 21 JIJINI DAR ES SALAAM NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE DKT. GODWILL G. WANGA, KATIBU MTENDAJI WA TNBC LEO TAREHE 2 SEPTEMBA, 2025