Habari

PICHA YA PAMOJA BAADA YA MAJADILIANO YA UTEKELEZAJI WA AZIMIO LA MKUTANO WA 12 WA TNBC KUHUSU MIFUMO YA KUFANYA UKAGUZI WA MAGARI KABLA NA BAADA YA KUINGIA NCHINI
  • 21 Nov, 2021
PICHA YA PAMOJA BAADA YA MAJADILIANO YA UTEKELEZAJI WA AZIMIO LA MKUTANO WA 12 WA TNBC KUHUSU MIFUMO  YA KUFANYA UKAGUZI WA MAGARI KABLA NA BAADA YA KUINGIA NCHINI

KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA (TNBC), DKT. GODWILL G. WANGA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA KATIBU MKUU (WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA), BW. DOTTO JAMES, MWENYEKITI WA SEKTA BINAFSI TANZANIA, BI. ANJERINA NGALULA, KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI, BW. NSUBILI JOSHUA, MKURUGENZI MKUU WA TBS, DKT ATHUMAN NGENYA NA WADAU WA SEKTA BINAFSI NA SEKTA YA UMMA WAMEFANYA MAJADILIANO (PPD) KATIKA UTEKELEZAJI WA AZIMIO LA MKUTANO WA 12 WA TNBC KUHUSU MIFUMO  YA KUFANYA UKAGUZI WA MAGARI NJE KABLA YA KUPANDISHWA MELINI (PRE-SHIPMENT INSPECTION/ PVOC) NA NDANI YA NCHI (DESTINATION INSPECTION-DI) BAADA YA KUSHUSHWA MELINI. MAAZIMIO YALIYOFIKIWA NI KUTUMIA MIFUMO YOTE YA PSI (PVOC) NA DI, KUBORESHA VITUO VYOTE VYA UKAGUZI WA MAGARI (BANDARINI NA MIPAKANI), NA KUSITISHA UKAMATAJI WA MAGARI AMBAYO YAKO KATIKA MCHAKATO WA TBS WA UKAGUZI AU KUPELEKWA KATIKA BONDED WAREHOUSES. MPANGOKAZI WA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO HAYO UNAANDALIWA. TNBC IMEITISHA MKUTANO HUO LEO TARE 19.11.2021 KATIKA UKUMBI WA WAZIRI MKUU MAGOGONI DAR ES SALAAM.

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Hakuna Taarifa kwa sasa