Habari
Kikao Maalum cha Kikundi Kazi cha Kwanza cha Mapinduzi ya Kidijiti
- 06 Nov, 2023
Leo tarehe 6 Novemba 2023 Baraza la Taifa la Biashara TNBC tumeratibu Kikundi Kazi Maalum cha Kwanza cha Mapinduzi ya Kidigitali – Digital Transformation Working Group katika Ukumbi wa TCRA, Dar es salaam chini ya Mwenyekiti Mohammed Khamis Abdullah, Katibu Mkuu Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari