Habari

Dkt. Wanga akitoa salam za utangulizi na utambulisho kwenye MPPD ya Wizara ya Viwanda na Biashara
  • 14 May, 2024
Dkt. Wanga akitoa salam za utangulizi na utambulisho kwenye MPPD ya Wizara ya Viwanda na Biashara

Dkt. Godwill G. Wanga, Katibu Mtendaji wa TNBC, akitoa Salaam za Utangulizi na Utambulisho wa Washiriki katika Mkutano wa Majadiliano kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (MPPD) katika Ukumbi wa GR Comfort Jijini Mbeya, tarehe 10 Mei, 2024. Mkutano huo Umeongozwa na Mwenyekiti Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, Waziri wa Viwanda na Biashara