Habari

Dkt. Hassan Abas, aongoza kikao cha kikundi kazi cha pili cha Misitu
  • 14 May, 2024
Dkt. Hassan Abas, aongoza kikao cha kikundi kazi cha pili cha Misitu

Dkt. Hassan Abas, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Misitu, tarehe 29.04.2024 ameongoza kikao cha Kikundi Kazi cha pili katika Ukumbi wa ‘Four Point by Sheraton’ - (New Africa) Jijini Dar es salaam