Habari

Dkt. Hassan Abas, aongoza kikao cha Kikundi Kazi cha pili cha Utalii Ukumbi wa Four Points by Sheraton
  • 14 May, 2024
Dkt. Hassan Abas, aongoza kikao cha Kikundi Kazi cha pili cha Utalii Ukumbi wa Four Points by Sheraton

Tarehe 29.04.2024 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Utalii, Dkt. Hassan Abas, ameongoza kikao cha Kikundi Kazi cha pili cha Utalii katika Ukumbi wa ‘Four Point by Sheraton’ - (New Africa) Jijini Dar es salaam