Habari
Maonyesho ya kwanza ya Utalii kwa Nchi za Afrika Mashariki (Regional Tourism Expo 2021), Arusha Tanzania
- 11 Oct, 2021

Dkt. Godwill Wanga, Katibu Mtendaji wa TNBC (kulia) akimkaribisha Dkt. Maduhu I. Kazi (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania alipotembelea banda la TNBC. Mbele yao ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa TNBC, Bi. Oliva Vegulla. Hili ni onesho la kwanza la Utalii la nchi za Afrika Mashariki (First EAC Regional Tourism Expo 2021) limefanyika Tanzania