Habari

Baraza la Biashara la Mkoa wa Iringa
  • 10 Mar, 2023
Baraza la Biashara la Mkoa wa Iringa

Mhe. Halima Omari Dendego, Mkuu wa Mkoa wa Iringa na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Mkoa wa Iringa aongoza Mkutano wa Baraza leo tarehe 10.03.2023 katika Ukumbi wa Siasa ni Kilimo Mkoani Iringa. Mkutano huo umehudhuliwa na Dkt. Godwill Wanga, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara