Habari

KIKAO CHA FEDHA NA UTAWALA CHA TNBC CHAFANYIKA LEO TAREHE 25 MACHI 2024 JIJINI DAR ES SALAAM
  • 25 Mar, 2024
KIKAO CHA FEDHA NA UTAWALA CHA TNBC CHAFANYIKA LEO TAREHE 25 MACHI 2024 JIJINI DAR ES SALAAM

Leo tarehe 25 Machi, 2024 kimefanyika kikao cha Kamati ya Fedha na Utawala cha TNBC. Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti ndugu Mululi Majula Mahendeka, Katibu Mkuu IKULU katika Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam.