Habari
Kikao cha Kikundi Kazi cha Fedha chafanyika katika Ukumbi wa Hazina Ndogo Jijini Dar Es Salaam tarehe 5 Agosti, 2024
- 06 Aug, 2024
Tarehe 5 Agosti, 2024, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mwenyekiti wa Kikundi kazi cha Fedha Dkt. Natu El-Maamry Mwamba ameongoza kikao cha Kikundi Kazi katika Ukumbi wa Hazina ndogo Jijini Dar es salaam.