Habari

Kikao cha pili cha Kikundi Kazi cha Fedha chaketi Jijini Das salaam
  • 09 May, 2025
Kikao cha pili cha Kikundi Kazi cha Fedha chaketi Jijini Das salaam

Dr. Natu El-maamry Mwamba  (katikati), Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Fedha akiongoza Kikao cha Kikundi Kazi leo tarehe 9 Mei, 2025 katika Ukumbi wa HAZINA Jijini Dar es Salaam.Kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa TNBC Dkt. Godwill Wanga na kulia kwa Mwenyekiti ni Makamu Mwenyekiti wa Kikundi Kazi Bw. Theobard Sabi.