Habari

Uzinduzi wa Muundo wa mazao ya misitu yaliyo handisiwa (2021-2031)
  • 13 Nov, 2021
Uzinduzi wa Muundo wa mazao ya misitu yaliyo handisiwa (2021-2031)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa (katikati) amezindua Rasmi Muundo wa Kitaifa wa Maendeleo ya Sekta ya Miti (2021-2031) mjini Iringa tarehe 12/11/2021 pamoja na Utekelezaji wa Mpango wake.