Habari

Mhe. William V. Lukuvi aongoza Mkutano wa Majadiliano na Viongozi wa Wadau wa Sekta Binafsi tarehe 18 Februari, 2025
  • 18 Feb, 2025
Mhe. William V. Lukuvi aongoza Mkutano wa Majadiliano na Viongozi wa Wadau wa Sekta Binafsi tarehe 18 Februari, 2025

Mhe. William Vangimembe Lukuvi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) leo tarehe 18 Februari 2025 ameongoza Mkutano wa majadiliano kati ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Viongozi wa Wadau wa Sekta Binafsi katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Magogoni Jijini Dar Es Salaam.