Habari
Majadiliano ya Ki Wizara, Sekta ya Uchukuzi, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi
- 12 Apr, 2023

Tarehe 11.04.2023, TNBC, Tukishirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi tumeendesha Mkutano kwa pamoja wa Wadau wa Sekta ya Uchukuzi, Ministerial Public Private Dialogue – MPPD katika Kituo cha Kimataifa cha JNICC Jijini Dar es salaam. Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti ambaye ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.)