Habari
Mkutano wa Nne wa Majadiliano ya Wadau wa Wizara ya Maliasili na Utalii (MPPD) Wafanyika Jijini Dodoma
- 13 May, 2025

Mhe. Bal. Dkt. Pindi H. Chana, Waziri wa Maliasili na Utalii na Mwenyekiti wa Majadiliano ya Kisekta kati ya Wadau wa Utalii na Wizara ya Maliasili na Utalii (MPPD), leo tarehe 13 Mei, 2025 ameongoza Mkutano wa Nne wa majadiliano katika Ukumbi wa ST. Gaspar jijini Dodoma