Habari

Rais Mstaafu, Mhe. Dkt. Jakaya M. Kikwete akiwa pamoja na Katibu Mtendaji wa TNBC, Dkt. Godwill Wanga, katika Banda la Tanzania huko Dubai Expo 2020 tarehe 30.3.2022
  • 31 Mar, 2022
Rais Mstaafu, Mhe. Dkt.  Jakaya M. Kikwete akiwa pamoja na Katibu Mtendaji wa TNBC, Dkt. Godwill Wanga, katika Banda la Tanzania huko Dubai Expo 2020 tarehe 30.3.2022

Rais Mstaafu, Mhe. Dkt.  Jakaya M. Kikwete akiwa pamoja na Katibu Mtendaji wa TNBC, Dkt. Godwill Wanga, katika Banda la Tanzania huko Dubai Expo 2020 tarehe 30.3.2022. Mhe. Kikwete amepongeza Serikali ya Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa TNBC, kwa Banda zuri na lenye vivutio vingi vilivooneshwa na kuwezesha  Tanzania kuongoza kwa Banda bora kuliko yote ya nchi za Afrika. Mnamo Mwezi Oktoba 2021,  TNBC ilishiriki kikamilifu kutathmini mabanda ya nchi zingine zilizoshiriki katika Expo 2020 Dubai na kuandika taarifa ya ushauri na mapendekezo ya maboresho yaliyotekelezwa na TANTRADE na kuleta mafanikio makubwa.

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Hakuna Taarifa kwa sasa