Habari

Mkutano wa Majadiliano ya Kisekta kati ya Wadau na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
  • 23 May, 2022
Mkutano wa Majadiliano ya Kisekta kati ya Wadau na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Mhe. Dkt. Angelina Mabula(katikati), Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akiendesha Mkutano wa Majadiliano ya Kisekta kati ya Wadau na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo tarehe 23.05.2022. Kushoto kwa Waziri ni Dkt. Godwill Wanga Katibu Mtendaji wa TNBC  na kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara Dkt. Allan Kijazi. TNBC imeshirikiana na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuandaa Mkutano.

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Hakuna Taarifa kwa sasa