Habari

Baraza la Biashara la Mkoa wa Tanga
  • 28 Apr, 2023
Baraza la Biashara la Mkoa wa Tanga

Dkt. Godwill Wanga (aliyesimama), Katibu Mtendaji wa TNBC akiwasilisha mada kuhusu Muundo, majukumu ya TNBC na umuhimu wa mabaraza ya Mikoa na Wilaya. Mkutano huo umeongozwa na   Mhe. Waziri Kindamba, Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Mkoa wa Tanga leo tarehe 28 April 2023 katika ukumbi wa Halimashauri ya Jiji la Tanga.