Habari

Kikao cha 43 cha Kamati Tendaji ya TNBC 15.05.2023, ikulu Dar es salaam
  • 15 May, 2023
Kikao cha 43 cha Kamati Tendaji ya TNBC 15.05.2023, ikulu Dar es salaam

Dkt. Riziki Nyello (kulia), Mkurugenzi wa Mazingira ya Biashara wa TNBC na Bi. Oliva Vegulla (katikati), Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wakishiriki Kikao cha 43 cha Kamati Tendaji ya TNBC kilichofanyika leo tarehe 15.05.2023 IKULU Jijini Dar es salaam.