Habari

KATIBU MTENDAJI WA TNBC, DKT. GODWILL WANGA AKIWA NA WAJUMBE WA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI KUTOKA BARA NA VISIWANI KATIKA KIKAO CHA MAJADILIANO KUHUSU MFUMO WA KIELEKRONIKI
  • 25 Jan, 2022
KATIBU MTENDAJI WA TNBC, DKT. GODWILL WANGA AKIWA NA WAJUMBE WA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI KUTOKA BARA NA VISIWANI KATIKA KIKAO CHA MAJADILIANO KUHUSU MFUMO WA KIELEKRONIKI

Katibu Mtendaji wa TNBC, Dkt. Godwill Wanga akiwa na wajumbe wa sekta ya umma na sekta binafsi kutoka Bara na Visiwani katika kikao cha majadiliano kuhusu mfumo wa kielekroniki wa kuwasilisha ritani kwa TRA. Changamoto na Mapendekezo ya kuboresha mfumo huo zimejadiliwa katika kikao kilichofanyika leo 25 januari 2022 Ukumbi wa Chuo cha Utalii, Dar es Salaam. Maazimio yaliyofikiwa ni pamoja kuelemisha walipa kodi na kuunganisha na kuboresha mifumo yote ili kurahisisha ulipaji kodi zote katika kukuza uchumi endelevu Tanzania

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Tanzania Census 2022