Habari

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara na Wamiliki wa Viwanda Nchini wazungumza kuhusu fursa za soko na bidhaa za viwandani ikiwa ni sehem ya mkakati wa kukabiliana na athari za UVIKO-19
  • 04 Oct, 2021

Doto James, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara ameendesha kikao na Wamiliki wa viwanda Nchini, kikao hicho kimeratibiwa na TNBC

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Tanzania Census 2022