Habari
TNBC Yatunukiwa TUZO kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo stahiki ya Kikaguzi
- 02 Sep, 2024
Katibu Mtendaji Dkt. Godwill Wanga pamoja na Watumishi wa TNBC wakifurahia TUZO iliyotunukiwa TNBC kutoka kwa Msajili wa Hazina kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo stahiki ya Kikaguzi zinazotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwenye Kikao cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma Jijini Arusha tarehe 28 Agosti, 2024