Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa TNBC aendesha kikao cha 13 cha Baraza leo tarehe 7.6.2022 katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa TN...
Wajumbe Wakishiriki Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara uliofanyika Jijini Dodoma tarehe 7.6.2022 chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza Mhe. Samia Suluhu Hassan
Wajumbe Wakishiriki Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara uliofanyika Jijini D...
Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga (katikati), Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya TNBC ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji cha 35 cha Baraza la Taifa la Biashara leo tarehe 3.6.2022 Ikulu, Jijini Dar Es Salaam. Kushoto kwake ni Dkt. Godwill Wanga, Katibu Mtendaji.
Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga (katikati), Katibu Mkuu Kiongozi na Mwenyekiti wa Kam...
Dkt. John A. Jingu (katikati), Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Kushoto kwake ni Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu, Ikulu na kulia kwake ni Mha. Ngwisa Mpembe wa Sekta Binafsi, wakifuatilia na kushiriki Kikao cha Kamati Tendaji cha TNBC cha kawaida cha 35 kilichofanyika tarehe 3.6.2022 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.
Dkt. John A. Jingu (katikati), Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Urati...
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara akifungua Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara, Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2021
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Ba...
Bi.Angelina Ngalula, Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) akizungumza mbele ya wajumbe na waalikwa wa mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es salaam. Mkutano huo uliongozwa na Mwenyekiti wa TNBC Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe 26 Juni 2021
Bi.Angelina Ngalula, Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) akizungu...